Friday, July 06, 2007

KAZI IPO SASA!

Wengi wenu mtashangaa nilikuwa wapi kwa kutosikika kwa wakati wote huu. Ukweli ni kwamba nina mengi ya kusimulia tokea takribani mwaka mmojo wote huu uliopita[Juni 2006-Juni 2007]. Hivi sasa ninarudi na nitakuwa na mengi ya kusimulia kuanzia ya Mwanza mpaka ya wakati huu hapa Dar. Lakini ya Dar kwa kweli inabidi nijifunze kwani sijawa nayo mengi. Hata hivyo bajameni nawaomba sasa mnitembelee kwani nina uhakika wa kukandamiza manyuzi kibao. Nitarudi hivi karibuni................

No comments: